Africa-Press – Tanzania. DEODATUS Balile, Managing Editor of the Jamhuri Media, has been elected Chairman of the Tanzania Editors Forum for the five-year term.
Balile has been acting Chairman and defeated the long-serving Secretary General Nevile Meena.
He was announced winner on Saturday at the Annual General Meeting of the TEF, held in Morogoro after getting 57 votes out 79 valid vote count.
Mwananchi Communications Limited Executive Director, Bakari Machumu was elected Deputy Chairman after receiving 53 votes against 26 votes of his challenger, Joyce Shebe.






Niombe kurejea mazungumzo yenu na wizara ya ujenzi siku chache zilizopita na hasa majibu ya washiriki wa Mkataba huo, kwanza kabisa maswali karibu yeto yalijibiwa kisiasa sio kisheria maana ukiangalia scope ya ushrikiano ilitakiwa iwe wazi kuonyesha kuwa ni bandari ya Dar es salaam tu na sio vitu vingine lkn kisiasa inajibiwa kuwa ni bandari ya Dar es salaam tu kitu ambacho sio sahihi, Pili Authorization power ya mbarawa ukisoma haiko kisheria bali iliandaliwa na madarali na wala sio wataalamu wa kitanzania, hata wangepeleka kwa Ndumbalo au Mwanasheria mkuu isingekubaliwa ina makosa makubwa mno, tatu Swali la Kubenea halikujibiwa kabisa maana alitaka kujua je pesa za World Bank atazilipa nani wakiingia hao DP World na madalali wao wa kitanzania?, Nne Je muwaulize walisoma sheria namba 5 ya 2017 ihusuyo mali asili zetu inayopiga marufuku kabias kuingia mkataba wowote uhusuo rasilimali na kujadiliwa nje ya mipaka ya tanzania na ndio maana wanapeleka sasa mswada kufuta sheria yenye zuio hilo, kifupi mkataba huu haukuandaliwa na watanzania bali wapiaga dili tu na sio wataalamu wetu wazuri mno kwenye maandishi ya kisheria.