Ambassador Didier Chassot puts the Tanzania-Switzerland cooperation in perspective

24
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Doto James (kulia) na Balozi wa Uswisi nchini Didier Chassot, wakisaini mikataba miwili ya msaada wa Faranga za Uswisi milioni 15.75 sawa na Sh. bilioni 39.59 kwa ajili ya Uboreshaji wa Afya na Uimarishaji wa Mfumo wa Afya na Programu ya Kutokomeza Malaria Tanzania,Mkataba huo ulifanyika jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Wizara ya Fedha na Mipango)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here